MKUU WA WILAYA YA LINDI AWAFUNGA WAZAZI WASIOWAPELEKA WATOTO SHULE. - KABONGE BLOG.

Blog hii ni kwaajili ya masuala/taarifa za kidini na matukio yanayotokea kila siku.

Breaking

Tuesday, November 29, 2016

MKUU WA WILAYA YA LINDI AWAFUNGA WAZAZI WASIOWAPELEKA WATOTO SHULE.

Mkuu wa Wilaya ya Lindi Shaibu Ndemanga amesema Atawachukulia hatua za kisheria wazazi wote wataoshindwa kuwaendeleza wanafunzi watakaokuwa wanaingia kidato cha kwanza ambao watakuwa wamefaulu kutokana na sababu yoyote ikiwemo kuwafunga.

Ndemanga Ameyasema hayo wakati akizindua Mnara wa Kampuni ya simu a mkononi ya Airtel Iliyopo ng’apa Mkoani Humo.

Mara baada ya kuzindua Mnara Huo Mkuu wilaya ya wa Lindi Shaibu Ndemanga anasema Viwanda Vingi Vinajenga Mkoa hapo kutokana na kugundulika kwa nishati ya Gesi yo ajira kwa kiasi kikubwa zitapatikana.

Hata Hivyo baadhi ya wananchii wa kijijicha Ng’apa ambapo ndipo mnara huo umejengwa wamefarijika baada ya kupatikana kwa mawasiliano ya uhakika.

kwa kipindi kirefu wananchi wa Vijiji zaidi ya sita wamekuwa wakilalamika juu yaupatikanaji wa wa mawasilino hivyo kujengwa kwa mnara huu kutasaidia kurahisisha huduma mbalimbaliza kimawasiliano.

No comments:

Post a Comment