ALIYEKUWA SPIKA WA BUNGE SAMWEL SITTA AFARIKI DUNIA. - KABONGE BLOG.

Blog hii ni kwaajili ya masuala/taarifa za kidini na matukio yanayotokea kila siku.

Breaking

Sunday, November 6, 2016

ALIYEKUWA SPIKA WA BUNGE SAMWEL SITTA AFARIKI DUNIA.

TANZIA: Aliyekuwa Spika mstaafu wa Bunge na Waziri Mwandamizi Mhe. Samuel Sitta amefariki dunia usiku wa kuamkia leo huko Ujerumani akiwa katika matibabu... Poleni ndugu , jamaa na marafiki wote na Mungu ailaze Roho ya Marehemu mahala pema peponi Amina.

Na, Paschal Kabonge.

No comments:

Post a Comment