MATOKEO YA UCHAGUZI WA RAISI WA MAREKANI. - KABONGE BLOG.

Blog hii ni kwaajili ya masuala/taarifa za kidini na matukio yanayotokea kila siku.

Breaking

Wednesday, November 9, 2016

MATOKEO YA UCHAGUZI WA RAISI WA MAREKANI.

Mpaka sasa Donald Trump ameshinda nafasi ya Urais kwa kuvuka idadi ya kura za wajumbe kwa kupata kura za wajumbe 276 huku  Clinton  akipata 218.

Muda huu anahutubia kukubali ushindi huo, mpaka sasa Clinton amegoma kusema chochote  

No comments:

Post a Comment