KWAYA YA MTAKATIFU JOSEPH MFANYAKAZI PAROKIA YA KIDAMALI-IRINGA. - KABONGE BLOG.

Blog hii ni kwaajili ya masuala/taarifa za kidini na matukio yanayotokea kila siku.

Breaking

Monday, October 24, 2016

KWAYA YA MTAKATIFU JOSEPH MFANYAKAZI PAROKIA YA KIDAMALI-IRINGA.

      


          Ni ujio mpya wa kwaya ya Mtakatifu JOSEPH MFANYAKAZI KIGANGO CHA NZIHI, PAROKIA YA KIDAMALI-IRINGA  ambayo imezindua albam yake mpya ya Muziki mtakatifu.
    Kwaya hii kwa sasa imeachia albam yake nzuri kabisa anayoitwa 'TUMAINI LA MILELEambayo audio production ilifanyika TRIPLE J   STUDIO- MBEYA,  na video production imefanywa na RAJO PRODUCTION -  DAR ES SALAAM.
       MKANDA HUU wa picha (Video) unapatikana mikoa yote Tanzania ikiwemo Iringa, Dodoma,  Dar es salaam, Mwanza, Mbeya,  n.k......
       Kwa mawasiliano jinsi ya kuipata DVD hii,,,
☎☎    +255759-104804
                  Mr.  (Paschal Kabonge)
                         +255 752 243 201
                      Mr.   (Nelson Alex)
 ➡
paschalkabonge2@gmail.com
    
DVD HII INAUZWA SH, 5,000/= TU
JIPATIE NAKALA YAKO ORIGINAL SASA.
PIGA SIMU AU TUMA UJUMBE UTUAMBIE UNAPOPATIKANA NASI TUTAKUELEZA SEHEMU YA KUIPATA DVD HII APOAPO MKOANI PAKO.
NAWATAKIA BARAKA NJEMA UTAKAZOZIPATA BAADA YA KISIKILIZA NA KUANGALIA UINJILISHAJI HUU.
Tazama moja kati nyimbo zilizopo kwenye hii DVD.
BONYEZA LINK HII.
           ⤵
          
          
TUMAINI LA MILELE   
ASANTE NA UBARIKIWE SAAANA.

No comments:

Post a Comment