KOCHA WA YANGA LWANDAMILA AREJEA NCHINI. - KABONGE BLOG.

Blog hii ni kwaajili ya masuala/taarifa za kidini na matukio yanayotokea kila siku.

Breaking

Sunday, September 3, 2017

demo-image

KOCHA WA YANGA LWANDAMILA AREJEA NCHINI.

george-lwandamina-yanga-2017_1qfimb7n8sjup13yv41joa409u-300x208

Kocha wa Yanga, George Lwandamina anatarajia kurejea nchini leo, tayari kuanza kazi.

Lwandamina alilazimika kusafiri kwenda kwao Zambia baada ya kupata msiba wa kufiwa na baba yake mzazi.

Pamoja na msiba huo mkubwa kwake, Lwandamina aliamua kurejea haraka ili kupambana kuhakikisha kikosi chake kinafanya vizuri.

Kocha huyo mtaratibu anatarajia kurejea leo jioni na kesho ataendelea na kazi ya kukinoa kikosi chake.

source:MUUNGWANA BLOG 

No comments:

Post a Comment

undefined

Contact Form

Name

Email *

Message *