ALIYETEKA WATOTO ARUSHA NA GEITA ANASWA - KABONGE BLOG.

Blog hii ni kwaajili ya masuala/taarifa za kidini na matukio yanayotokea kila siku.

Breaking

Monday, September 4, 2017

demo-image

ALIYETEKA WATOTO ARUSHA NA GEITA ANASWA

CrcmP1xWIAIjnXD

Polisi Mkoani Geita wanamshikilia  kijana Samson Petro (18) mkazi wa Katoro wilayani Geita mkoani hapa Kwa tuhuma za kuteka watoto katika mikoa ya Arusha na Geita

Kijana huyo amekamatwa usiku wa Septemba 2 ,saa mbili usiku katika nyumba ya kulala wageni ya Shitungulu iliyopo mji mdogo wa Katoro.

Kamanda wa polisi mkoani hapa , Mponjoli  Mwabulambo amethibitisha kukamatwa Kwa kijana huyo na kusema polisi linaendelea na uchunguzi na utakapokamilika atafikishwa mahakamani

No comments:

Post a Comment

undefined

Contact Form

Name

Email *

Message *