TUMSIFU YESU KRISTO……………
Katika tamasha la kwaya mbalimali zilizopo katika
umoja wa vijana wakatoliki (ngazi ya chuo) TMCS- TANZANIA MOVEMENT OF CATHOLIC
STUDENTS lililofanyika TR. 20th/MAY/2017 jimbo la Dodoma ambapo vipo vyuo zaidi ya
kumi. Katika tamasha hili kwaya lililoanzwa kwa ibada ya misa takatifu katika
ukumbi wa chuo cha mtakatifu John Dodoma (ST. JOHN), baadae kufuatiwa na
mpambano mkali wa kwaya hizo ambapo ambapo wimbo mmoja uliimbwa na kwaya zote
kwa nyakati tofauti tofauti kwa kupanda
jukwaani na kuuimba wimbo hio na wimbo mwingine wowote ambao waliouchagua
kuimbwa kwenye tamasha hilo.
MAJAJI WALIOKUWEPO KWENYE TAMASHA HILO NI:-
- . Mwl. SWAI, J
- . Mwl. MILENGUKO
- . Mwl. NYONI, L
- . Mwl. BLACKMAN
KWAYA ZILIZOSHIRIKI.
- . Kwaya ya Mt. Fransisco-(HOMBOLO)
- . BBM- (St. John)
- . Kwaya ya Mt. Aloyce-(MIPANGO)
- . Kwaya ya Mt. Marko Mwinjili-UDOM (INFORMATICS)
- . Kwaya ya Mt. Joseph Mfanyakazi(UDOM-COED)
- . Kwaya ya Mt. Kamili(UDOM-TIBA)
- . Kwaya ya Mt. Gregory(St. John)
HATIMAYE KWAYA YA MT. JOSEPH MFANYAKAZI IMEIBUKA VINARA WA MASHINDANO HAYO NA USHINDI MNONO KWA ALAMA 88% NAFASI YA
KWANZA.
NYIMBO ZILIZOIMBWA NA KWAYA HIO NI.
- 1. UMOJA NA UPENDO (Na, Shanel Komba)
- 2. TAZAMA ILIVYO VYEMA (Na, NYANZA)
HUKU NAFASI YA PILI IKICHUKULIWA NA KWAYA YA
MTAKATIFU GREGORY KWA ALAMA 70.3%
KABONGE BLOG ilimtafuta mwalimu mmojawapo wa kwaya
ya Mt. Joseph MWL, BRAVIUS MTONGOLE kuhusu kujua siri iliyojificha ndani ya
uimbaji nzuri wa kwaya hiyo ya mtakatifu Joseph ambapo aliorodhesha kama ifuatavyo:-
i. NIDHUMU BAINA YA WANAKWAYA NA WALIMU NA
VIONGOZI.
ii. KUFUATA MAELEKEZO YOTE YANAYOTOLEWA NA WALIMU
WAKATI WA
MAZOEZI.
iii. KUWA NA MAZOEZI YA MARA KWA MARA KWA.
iv.
UMOJA NA MSHIKAMANO BAINA WA WALIMU.
v.
KUMTANGULIZA MUNGU MBELE KATIKA KILA JAMBO WALIFANYALO.
SAMBAMBA NA HILO pia KABONGE BLOG inatoa shukrani za
dhati kwa walimu wa kwaya hio kwa kujitoa bila kujibakiza katika kuifundisha
kwaya hio licha ya changamoto zao nyingi wanazokumbana nazo katika utume huo.
Shukrani ziwaendee.
- 1. Mwl. YUSUPH MWASELELA
- 2. Mwl. ELTON LIBONGI
- 3. Mwl. BRAVIUS MTONGOLE
- 4. Mwl. PASCAL KABONGE
- 5. Mwl. GEORGE MBANGO
- 6. Mwl. JULIUS KISAPI
- 7. Mwl. ABELI SIMEO
- 8. WANAKWAYA WOOOOOOOOOOOTE WA KWAYA YA MT. JOSEPH MFANYAKAZI UDOM-COED.
TMCS---- PREFERENTIAL OPTION FOR THE POOR.
PREPARED BY, PASCHAL KABONGE
No comments:
Post a Comment