KITUO CHA MAFUTA TEGETA (DAR) CHATEKETEA KWA MOTO. - KABONGE BLOG.

Blog hii ni kwaajili ya masuala/taarifa za kidini na matukio yanayotokea kila siku.

Breaking

Tuesday, March 7, 2017

KITUO CHA MAFUTA TEGETA (DAR) CHATEKETEA KWA MOTO.

Kituo cha mafuta kilichopo eneoKituo cha mafuta cha Petro kilichopo eneo la Tegeta kikionekana kuteketea kwa moto, huku chanzo kikidaiwa kuwa ni gari lililokuwa likishusha shehena ya mafuta kituoni hapo kushika moto. inaelezwa kuwa Gari hilo limeteketea lote huku sehemu ya kituo hicho pia imeteketea.
Kikosi cha zimamoto kilifika eneo la tukio kukabiliana na janga hilo. 

No comments:

Post a Comment