GARI LA NEW FORCE LAGONGANA USO KWA USO NA ROLI. - KABONGE BLOG.

Blog hii ni kwaajili ya masuala/taarifa za kidini na matukio yanayotokea kila siku.

Breaking

Thursday, December 8, 2016

GARI LA NEW FORCE LAGONGANA USO KWA USO NA ROLI.

Kuna ajali mbaya imetokea igurusi wilaya mbaralali -MBEYA Basi la kampuni ya NEW FORCE linalofanya safari zake Tunduma kwenda Dar limegongana uso kwa uso na Lori. Dereva wa busi alikuwa anaovateki kwenye kona ndipo akagongana na Lori na gari zingine 2 taarifa za awali zinaonyesha dereva wa roli amevunjika miguu na baadhi ya abiria kwenye busi wamejuruhiwa na kuvunjika viungo ila idadi ya vifu hakuna.
















ANGALIA VIDEO HII..


No comments:

Post a Comment