WANAFUNZI WANAOHITAJI MKOPO SIO WOTE WATAPATA HUO MKOPO. - KABONGE BLOG.

Blog hii ni kwaajili ya masuala/taarifa za kidini na matukio yanayotokea kila siku.

Breaking

Tuesday, November 1, 2016

WANAFUNZI WANAOHITAJI MKOPO SIO WOTE WATAPATA HUO MKOPO.

Naibu waziri wa Elimu, sayansi na teknolojia Eng. Stella Manyanya alilazimika kusimama bungeni Dodoma kujibu swali la Mbunge wa Kilolo Venance Mwamoto aliyetaka kujua kwanini hadi sasa kuna baadhi ya wanafunzi wa elimu ya juu hawajapewa mikopo, tazama hii video havikuweza chini.


BONYEZA HAPA KUFUNGUA VIDEO HII

No comments:

Post a Comment