KABONGE BLOG.

KABONGE BLOG.

Blog hii ni kwaajili ya masuala/taarifa za kidini na matukio yanayotokea kila siku.

Breaking

Fashion

News

Sports

Recent Posts

View More

Sunday, December 3, 2017

KAMANDA SIRRO ASHIKA SILAHA ZOTE ZA WAHARIFU KIBITI.

7 years ago 0

MKUU wa jeshi la polisi nchini (IGP)Simon Sirro amewahakikishia wananchi mkoani Pwani kuwa silaha zote zilizochukuliwa na wahalifu wa ovyo ovyo huko Kibiti na Mkuranga zimerudi zote mkononi mwa dola na kusambaratisha mtandao wa kiuhalifu . Aidha am...

Read More

Saturday, October 7, 2017

TAFAKARI YA MASOMO YA DOMINIKA YA 27A.

8 years ago 0

DOMINIKA YA ISHIRINI NA SABA YA  MWAKA  A. MASOMO. Isa.5 :1-7. Flp.4:6-9. Injili Mt 21: 33-43. WAZO KUU. SASA NI  WAKATI  WA  KUZAA MATUNDA MEMA YA IMANI. UTANGULIZI. Ndugu zangu,leo ni Dominika ya Ishirini na Saba ya Mwaka A wa Kanisa.Dominika i...

Read More

Thursday, October 5, 2017

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA MAHOJIANO HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO.

8 years ago 0

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO Mkurugenzi  wa Manispaa ya Ubungo anapenda kuwatangazia  wasailiwa wa kada ya Mtendaji wa Mtaa III waliofanya usaili wa mchujo wa kuandika na kufaulu wanatakiwa kufika saa mbili kam...

Read More

NAFASI ZA KAZI MTENDAJI WA KIJIJI III NAFASI 56 HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE, TUMA MAOMBI KABLA YA TAREHE 17 OCTOBER 2017.

8 years ago 0

HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Mkurugenzi Mtendaji (W)Makete kupitia kibali cha ajira mbadala kilichotolewa na Katibu Mkuu - Utumishi Kumb. Na. CFC 26/205/01"FF" /91 anapenda kuwatangazia Wananchi wote wenye sifa za kuaji...

Read More

MUGABE ARRIVES IN THE COUNTRY WITHOUT HIS WIFE GRACE.

8 years ago 0

Zimbabwean President Robert Mugabe Photo: Tsvangirayi Mukwazhi/AP Zimbabwean President Robert Mugabe, whose wife Grace remains at the centre of a legal storm over an alleged assault of a 20-year-old South African, arrived in Pretoria on Monday eve...

Read More

WATU 15 WAFARIKI KWA AJALI YA ROLI.

8 years ago 0

WATU 15 wamefariki dunia na wengine tisa kujeruhiwa baada ya lori walilokuwa wakisafiria kupinduka eneo la Ntembwa ndani ya Hifadhi ya Lwafi wilayani Nkasi mkoani Rukwa. Ajali hiyo imetokea jana Jumanne saa mbili usiku baada ya lori aina ya Fuso l...

Read More
Page 1 of 4812345...48Next �Last
undefined

Contact Form

Name

Email *

Message *